Official Opening Hours : Monday to Friday - 8 Am to 5 Pm
Kiswahili ni mojawapo wa lugha za kiafrika ambayo inakua kwa kasi mno.
Katika Afrika ya mashariki kiiswahili knazungumzwa kati nchi za Kenya, Tanzania ,Uganda, Rwanda na Burundi.
Aidha kiswahili kinazungumzwa katika nchi za Congo na Zaire.
Ndiposa sisi kama Idara ya Kiswahili tunajizatiti mnono kuhakikisha kwamba vijana hawa wanaelewa luhya hii ya kupendeza.
Licha ya maswala yanayotukumba, twajikaza kuchambua lugha hii na kuwapa ufahamu zaidi.
# | Year | A | A- | B+ | B | B- | C+ | C | C- | D+ | D | D- | ENTRY | MEAN | MEAN GRADE |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
# | Year | A | A- | B+ | B | B- | C+ | C | C- | D+ | D | D- | ENTRY | MEAN | MEAN GRADE |