• iconPQR8+7C7, Waiyaki Way, Nairobi
  • iconinfo@nairobischool.ac.ke

Official Opening Hours : Monday to Friday - 8 Am to 5 Pm

icon

Need Help? call us Immediately...

0740 547 354 || 0741 946 507

Kiswahili

Kuhusu Kiswahili

Kutoka Kwa Mkuu Wa Idara

Kiswahili ni mojawapo wa lugha za kiafrika ambayo inakua kwa kasi mno. Katika Afrika ya mashariki kiiswahili knazungumzwa kati nchi za Kenya, Tanzania ,Uganda, Rwanda na Burundi. Aidha kiswahili kinazungumzwa katika nchi za Congo na Zaire.

Ndiposa sisi kama Idara ya Kiswahili tunajizatiti mnono kuhakikisha kwamba vijana hawa wanaelewa luhya hii ya kupendeza. Licha ya maswala yanayotukumba, twajikaza kuchambua lugha hii na kuwapa ufahamu zaidi.

About
Mrs. Okadia
Mkuu Wa Idara Ya Kiswahili
Department level Performamce
# Year A A- B+ B B- C+ C C- D+ D D- ENTRY MEAN MEAN GRADE
# Year A A- B+ B B- C+ C C- D+ D D- ENTRY MEAN MEAN GRADE
Kiswahili Team